May 2015

Mamlaka Ya Elimu Tanzania (Tea), Yatoa Ufadhili Wa Milioni 300 Kwa Chuo Kikuu Cha Sayansi Na Teknolojia Cha Mwalimu Julius K.Nyerere

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw. Joel Laurent akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar Es Salaam kuhusu mikakati ya mamlaka hiyo katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kupitia Mfuko wa Elimu.
English