November 2016

Slide2

Mkurugenzi Mkuu wa TEA Bi. Bahati Geuzye (Kushoto) akipokea zawadi ya TEA kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Eng. Dkt Idrissa Muslim Hija(kulia), katika hafla ya uzinduzi wa ukarabati na upanuzi wa Jengo la Utawala la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia iliyofanyika tarehe 11 Agosti 2020 Zanzibar.
English