KUFANYA MALIPO KUPITIA MFUMO MPYA WA SERIKALI WA GePG
Mamlaka ya Elimu Tanzania inapenda kuutaarifu Umma ya kwamba, kuanzia sasa, imehamia rasmi katika mfumo wa malipo wa Serikali ujulikanao kama Government e-Payment Gateway (GePG) kama matakwa ya sheria kwa Taasisi za Serikali.