News

Deadline for application has been extended to 15 th April 2019 at 23:00 Hours, All institutions required to submit their Concept note before Deadline date - 15 April, 2019 - 23:00.
April 12, 2019
TEA is calling for proposals from eligible Training Institutions (Training providers) under the above mentioned windows to apply for grants from SDF with a focus of conducting short courses geared to promote the expansion and quality of labor market driven skills development opportunities in six key economic sectors namely: Agriculture, Agribusiness and Agro-Processing; Tourism and Hospitality; Transport and Logistics; Construction; Information and Communications Technology (ICT); and Energy.
April 04, 2019
Taasisi 18 zimetunukiwa Hati za utambuzi wa elimu baada ya kuchangia miradi ya elimu nchini kwa uratibu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania.
November 23, 2018
KUFANYA MALIPO KUPITIA MFUMO MPYA WA SERIKALI WA GePG Mamlaka ya Elimu Tanzania inapenda kuutaarifu Umma ya kwamba, kuanzia sasa, imehamia rasmi katika mfumo wa malipo wa Serikali ujulikanao kama Government e-Payment Gateway (GePG) kama matakwa ya sheria kwa Taasisi za Serikali.
November 14, 2018
TANZANIA Education Authority (TEA) has embarked on rehabilitation of seven National Secondary Schools in Dodoma, Tanga, Coastal, and Mwanza regions.
February 12, 2018
Wizaya ya Elimu Sayansi na Teknolojia imeendesha Mafunzo ya siku mbili juu ya Uandishi wa Miradi ya Kuendeleza Stadi za Kazi, kwa waajiri na vyuo vya mafunzo kuanzia ngazi ufundi stadi hadi vyuo vikuu.
January 25, 2018
Mamlaka ya Elimu Tanzania inautangazia Umma pamoja na wadau wake wote kuwa ofisi zake zimehamia rasmi katika jengo lililopo Kiwanja Na. 711, Kitalu Na. 1, Mikocheni B, Dar es Salaam kuanzia tarehe 2 Januari, 2018. Hivyo shughuli na huduma za Mamlaka zinapatikana hapo kuanzia tarehe tajwa.
January 05, 2018
In celebrating the international Womens day, TEA women employees visited children with disabilities at Sinza special school donating material worthy more than TZS 700,000 and cash money, TZS 800,000.
March 15, 2017
Kampuni ya Oxford University Press, kupitia mamlaka ya Elimu Tanzania imetoa msaada wa vitabu zaid ya elfu ishirini na nne ( 24,567) vyenye thamani ya shilingi milioni mia moja na moja, laki moja na thelathini na tisa elfu mia tano (TZS 101,1395000) Kwenye shule za msingi 48 za mikoa ya Pwani na Dar es salaam.
March 15, 2017
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw. Joel Laurent akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar Es Salaam kuhusu mikakati ya mamlaka hiyo katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kupitia Mfuko wa Elimu.
May 18, 2015

Pages