OFISI YA WAZIRI MKUU - KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU (OWM-KVAU) KWA KUSHIRIKIANA NA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA (WyEST) KUPITIA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA)
TAARIFA KWA UMMA
ORODHA YA MAJINA YA VIJANA 411 WENYE ULEMAVU WALIOPATA UFADHILI WA MAFUNZO YA UJUZI KUPITIA MFUKO WA KUENDELEZA UJUZI (SKILLS DEVELOPMENT FUND - SDF)