slide3

Baadhi ya wachangiaji wa maendeleo ya Elimu walioshiriki katika kuchangia fedha, rasilimali na huduma katika kuboresha upatikanaji wa elimu bora kwa usawa nchini kupitia Mfuko wa Elimu(TEA).