TANGAZO LA UFADHILI WA MAFUNZO YA KUENDELEZA UJUZI KWA MAKUNDI MAALUMU NA VIJANA WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in _menu_load_objects() (line 579 of /home/teaor/public_html/includes/menu.inc).

1. Taasisi zitakazotoa Mafunzo
Mafunzo yatatolewa na Taasisi zifuatazo:
(i) Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDCs);
(ii) Vyuo vya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA); na
(iii) Vituo vya Mafunzo ya Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo vidogo (SIDO).
Hivyo, waombaji watapangiwa vyuo vilivyo karibu na maeneo wanayoishi kulingana na programu walizoomba.

2. Mawasiliano
Kwa ufafanuzi au maelezo zaidi wasiliana na: Mratibu wa Mfuko wa Kuendeleza Ujuzi kwa Namba ya simu:
0789304181 au Ofisa wa Mpango wa Ufadhili kwa Namba ya simu: 0718744385 au tuma barua pepe kwa:
sdf@tea.or.tz.
Imetolewa na:
MKURUGENZI MKUU
na MSIMAMIZI WA MFUKO WA KUENDELEZA UJUZI (SDF Fund Manager),
MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA,
S.L.P 34578,
DAR ES SALAAM.
Barua pepe:info@tea.or.tz,
sdf@tea.or,tz | dg@tea.or.tz
 

Links below:

Click here to download Application Form

Click below to download Tangazo