Published at: Fri, Oct 25, 2024 1:19 PM
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo Oktoba 9, 2024 alitembelea banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Juma la Elimu ya Watu Wazima yaliyofanyika katika viwanja vya Chipukizi Mkoani Tabora.