Tanzania Education Authority
Managing The Education Fund
  • Home
  • About us
    • About TEA
    • What we do
    • The Education Fund
    • Board Members
    • Management Team
    • Organisation Structure
  • Education Support
    • Project M & E
  • Skills Development Fund
    • About SDF
    • Call for Concept note
    • FAQ
    • Funding Windows
    • Grantees
    • Publications
  • Resource Mobilizations
    • Donate
  • Media Centre
    • Press Release
    • Annual Reports
    • Photo Gallery
    • Videos
    • Archive
  • Director General, Tanzania Education Authority(TEA) Ms. Bahati Geuzye (2nd left) handed over 500 iron sheets worth 12m/ to five primary schools of Babati District Council and Kigamboni Municipal council in an event held at TEA office in Dar es Salaan on 31 March 2021
  • Mkurugenzi Mkuu wa TEA Bi. Bahati Geuzye (Kushoto) akipokea zawadi ya TEA kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Eng. Dkt Idrissa Muslim Hija(kulia), katika hafla ya uzinduzi wa ukarabati na upanuzi wa Jengo la Utawala la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia iliyofanyika tarehe 11 Agosti 2020 Zanzibar.
  • Baadhi ya wachangiaji wa maendeleo ya Elimu walioshiriki katika kuchangia fedha, rasilimali na huduma katika kuboresha upatikanaji wa elimu bora kwa usawa nchini kupitia Mfuko wa Elimu(TEA).
  • TEA Director General Ms. Bahati Geuzye(Right) handing a prize to the Uganda's head of Skills' Development Fund(SDF) Madam Ruth Biyinzika(Left). The Director General was in an experience sharing visit with Uganda's Management of Skills Development Fund.
  • Members of the workers’ council of Tanzania Education Authority (TEA) in a group photo during a one-day meeting held in Tanga on 18 December 2020

Downloads

SDF FORM ACTION PLAN
SDF GRANT PROPOSAL FORM
SDF Grants Concept Note System Application User Manual
Application Form
Application Procedures

Media Center

  • Press Release
  • Annual Reports
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Archive

NEWS & UPDATES

Apr 01, 2021
WADAU WA ELIMU WAHIMIZWA KUCHANGIA MFUKO WA ELIMU
WADAU WA ELIMU WAHIMIZWA KUCHANGIA MFUKO WA ELIMU
Jan 29, 2021
ORODHA YA MAJINA YA WANUFAIKA WA UFADHILI WA MAFUNZO YA KUENDELEZA UJUZI...

1. Utangulizi

Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) ni Taasisi ya Umma iliyoanzishwa chini ya kifungu cha (5)1 cha Sheria ya Mfuko wa Elimu Namba 8 ya Mwaka 2001, ili kusimamia Mfuko wa Elimu wa Taifa ulioanzishwa chini ya Sheria hiyo. TEA inatekeleza majukumu yake chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Mwaka 2017, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iliipatia TEA jukumu la kuratibu na kusimamia shughuli zote zinazohusu utekelezaji wa Mfuko wa Kuendeleza Ujuzi (SDF) ambao ni sehemu ya utekelezaji wa Programu ya Kukuza Ujuzi na Stadi za Kazi kwa lengo la kuzalisha ajira (ESPJ) unaotekelezwa na Wizara hiyo ukipata ufadhili toka Benki ya Dunia. Programu ya ESPJ ni sehemu ya utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Kuendeleza Ujuzi (National Skills Development Strategy-NSDS: 2016-2021).

Maeneo muhimu yanayolengwa katika utekelezaji wa programu ya ESPJ ni kuongeza ufanisi katika uzalishaji na pia kuongeza uwiano wa wataalam wa fani mbalimbali katika Sekta sita za kipaumbele (Kilimo na Kilimo Biashara, Utalii na huduma za Ukarimu, Nishati, Ujenzi, Uchukuzi na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano-TEHEMA) zenye mchango mkubwa wa kiuchumi nchini.

Ili kuwafikia watanzania wengi zaidi hasa wenye mahitaji ya ujuzi, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania imeanzisha Mpango wa Ufadhili (Bursary Scheme) ambao ni sehemu ya utekelezaji wa Mfuko wa Kuendeleza Ujuzi. Mpango huu umelenga kuwezesha mafunzo ya ujuzi kwa vijana kutoka makundi maalum na wanaoishi katika mazingira magumu ili wapate uwezo wa kujishughulisha katika shughuli mbalimbali za uzalishaji zenye tija.

Tangazo la kukaribisha maombi ya ufadhili lilitangazwa mapema mwezi Septemba 2020 katika magazeti na tovuti ya TEA. Baada ya kupokea na kupitia maombi yaliyotumwa kuomba ufadhili, jumla ya wanufaika 2,102 wamekidhi vigezo vya kupatiwa Ufadhili wa Mafunzo ya Kuendeleza Ujuzi Kwa Makundi Maalumu na Vijana Wanaoishi Katika Mazingira Magumu. Orodha ya Wanufaika imeambatanishwa katika tangazo hili.

 

 

Orodha ya Majina ya wanufaika

+ View More

Director General Note

Since its establishment in 2001, the Fund has been acting as a pool into which resources collected from Government allocations, voluntary contributions, and grants loans and from “Other Sources” are deposited in order to fund ‘educational development’ projects.
+ Read more
  • Stay Updated
Skills Development Fund

Education Support

Who Qualifies
Priority Areas of Support
Supported Projects
Evaluation and Notification
Procurement and Disbursement

Customer Support

  • Client Service Charter
  • Complaints Guidelines
  • Submit your complain / inquiry

General

  • Adverts
  • Tenders
  • Vacancies
Tanzania Education Authority

Bima Road, Plot No.711,
Mikocheni B,
P.O.BOX 34578, Dar es salaam,
Email: info@tea.or.tz

Contact Us

Useful Links

  • MoEST
  • Necta
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics (NBS)

Quick Links

  • Downloads
  • FAQ
  • Tenders
  • Complaints / Inquiries
  • Staff Email
Copyright © 2019 Tanzania Education Authority. All Rights Reserved.