The United Republic of Tanzania

Tanzania Education Authority

Managing The Education Fund

Mkurugenzi Mkuu wa TEA Dkt. Erasmus Kipesha akisamiliana na watumishi wa Mamlaka Mikocheni B, Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.

Published at: Thu, Dec 7, 2023 5:03 PM

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Dkt. Erasmus Kipesha akisamiliana na watumishi wa Mamlaka katika Ofisi ndogo zilizopo Mikocheni B, Jijini Dar es Salaam alipofika  ofisini hapo kwa mara ya kwanza baada ya kuteuliwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan