Published at: Tue, Oct 1, 2024 4:28 PM
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) yatumia Milioni 141. 9 kujenga bweni Shule ya Sekondari Luagala iliyopo Tandahimba - Mtwara, bweni lenye uwezo wa kubeba wanafunzi 120 kwa wakati mmoja. Lengo ni kuboresha upatikani wa elimu bora na kwa usawa kwa watoto wote ili kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anapata fursa ya kusoma na kutimiza ndoto zake.